Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,076
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu NA mpira Kumbe unafatilia? Mi nilijua Ni siasa tu! Uko wapi Leo? Italy Au?
Duh! Nililala kidogo ili kupunguza kausingizi kidogo, ila nilivyo amka siamini ninacho kiona kwenye vyombo vya habari, hivi nikweli Uruguay kafungwa? Maana kabla ya kuamua kulala niliacha anaongoza kwa goli moja, dah mpira kweli hauna adabu.
mungu ibariki italy