Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Naweka rekodi jumapili kwa timu ninayo shabikia kushinda kwa mara ya kwanza,,,,,,,,,,Messi anachukua kombe.
Hivi kwani timu ya nchi kutokuwa na watu weusi kwenye kikosi chake ni ubaguzi?
Mimi nadhani kuwaza hivyo au kuangalia mahsusi ili kuona kama kuna watu weusi sehemu, ndo hisia za ubaguzi hizo.
Spot on!
Hata gemu ya jana si kwamba Ujerumani ili dominate kivile. Hapana.
Ni kwamba tu walipozipata fursa za kufunga, wakafunga magoli na hicho ndo kilichoua kabisa morali ya Brasil, hususan yale magoli manne ndani ya dakika sita.
Na haijalishi wewe ni nani, hata kama Ujerumani ingepigwa magoli manne ndani ya dakika sita wange-collapse tu.
umenena mkuu yaani jana pengo la dimaria liliwacost sana argentina ila final huenda akacheza big up argentina bravo messiAmekutana na kigogo, hawakuruhusu Roben afanye atakavyo, hakuachiwa nafasi hata apate kujiangusha. Naamini hata jumapili akina Muller, Klose, Kroos, Khedira na hata Mesut hawata tamba sana. Ni kwamba Argentina wana nidham sana. Kwa mtu aliyeangalia mechi ya German vs France atakubaliana na mimi Ujeruman ni wa kawaida tu ukikaza na kuziba mianya. Jana Brasil wameipa sifa za bure tu. Sijui Di Maria atakuwepo siku ya fainali au atakosa pia. Gemu ya leo ingeisha mapema kabisa angekuwepo Angel Di Maria, ule mpatano wake na Messi tumeumiss! Mascherano aendelee kukaza tu kwa wakina Hummels,Muller, Kroos na wengine!
They swarmed on the Brazilian, giving them no time on the ball at all.
Na Gegenpressing style of play, kama ukiiptatia fresh, inakupa magoli ya kumwaga. Hili tulishuhudia wenyewe juzi. Bao 7.
Hata sisi watanzania tunaongoza kwa ubaguzi,unakumbuka yule miss Tanzania mwenye asili ya india?Hoyce Temu alitoa machozi.mpira ni kuhave fun,tukianza mambo ya ubaguzi,binadamu wote ni wabaguzi
Kwenye hiyo gemu ya juzi mimi naona ni Brasil wenyewe ndo waliipa ushindi Ujerumani na si kwamba Ujerumani walicheza spectacularly!
Sijui tu waliingiwa (Brasil) na mdudu gani maana hata kukaba walikuwa hawakabi. We angalia tu hata lile goli la kwanza. Mueller alikuwa hajakabwa kabisa.
Sasa mchezaji kama Mueller unamuacha wazi tena kwenye mpira wa kona unategemea nini? Na hata yale magoli mengine manne yaliyofungwa ndani ya dakika sita ilikuwa hivyo hivyo.
Defense ya Brasil siku hiyo haikuwepo kabisa. Ujerumani walikuwa wanafunga magoli kirahisi mno na hata wenyewe wanashangaa kilichotokea.
Halafu sasa ukiangalia zile dakika tisa za mwanzo Brasil walianza vizuri sana. Hata possession waliitawala wao.
German didn't play impressively. Rather, the easy goal scoring was shocking!
You won't see a repeat performance (by Germany) on Sunday because what happened on Tuesday was an aberration.

No doubt that Brazil under-performed and also lacked their two key players. Tena performance ya Brazil kwenye mechi nyingine hakuwa nzuri pia.
Lakini ushindi wa Ujerumani haukuwa wa bahati. Wajerumani waliwafunga kwa kucheza mpira ambao ni precise and inspiring.
Kwenye hiyo gemu ya juzi mimi naona ni Brasil wenyewe ndo waliipa ushindi Ujerumani na si kwamba Ujerumani walicheza spectacularly!
Sijui tu waliingiwa (Brasil) na mdudu gani maana hata kukaba walikuwa hawakabi. We angalia tu hata lile goli la kwanza. Mueller alikuwa hajakabwa kabisa.
Sasa mchezaji kama Mueller unamuacha wazi tena kwenye mpira wa kona unategemea nini? Na hata yale magoli mengine manne yaliyofungwa ndani ya dakika sita ilikuwa hivyo hivyo.
Defense ya Brasil siku hiyo haikuwepo kabisa. Ujerumani walikuwa wanafunga magoli kirahisi mno na hata wenyewe wanashangaa kilichotokea.
Halafu sasa ukiangalia zile dakika tisa za mwanzo Brasil walianza vizuri sana. Hata possession waliitawala wao.
German didn't play impressively. Rather, the easy goal scoring was shocking!
You won't see a repeat performance (by Germany) on Sunday because what happened on Tuesday was an aberration.
Kuna kina sisi ambao toka game 1 ya Brazil tulilalamika kuhusu kiwango chao kibovu na kubebwa na marefa, kwenye mechi kama ya Vs Colombia tuliiona Brazil inayocheza kama Stoke City na mimi binafsi niliambiwa nina chuki binafsi na Brazil kwa kukosoa mchezo wao mbovu kama rugby
Brazil ilikua mbovu kutokana na mambo mengi, kuanzia selection of players, mfumo waliocheza uwanjani, kocha ambaye anaonekana kuishiwa mbinu kila uchao, team kumtegemea sana Neymar na kuongozwa sana na emotions kuliko professionalism
Sijawahi kuona team so emotional kama Brazil hii, walikua wanalia sana wakivuka round, wakiimba wimbo wa Taifa mpaka wakongwe wao waliwakosoa hasa captain wa team na juzi kwenye mechi na Ujerumani nilishangaa kuona mpaka kocha anaingia uwanjani kavaa kofia imeandikwa "forca Neymar" na kabla ya hapo walishaita psychologist awasaidie vijana kuhusiana ana suala la Neymar, real? Halafu kabla ya mechi wakaingia na jezi ya Neymar utafikiri dogo labla kafa au kapata ulemavu wa maisha, na kocha wao aliruhusu hili bila kujua soka ni mchezo wa watu 11, this was lack of professionalism and they got punished for it
Pamoja na hayo watu hawataki to acknowledge that the Germans were far more superior than any Brazilian on the pitch, goal la kwanza la Muller unalosema aliachwa free mapundits/wachezaji wastaafu wanakwambia ile move ilitengenezwa kwenye training ground, Luiz alikua blocked na Klose ndio Muller akapata nafasi ya kufunga hakuna bahati wala magic ni ufundi tu, kama huamini tafuta replays
Goal la pili ni uzembe wa Marcelo kwa kiasi kikubwa, na baada ya hapo Wajerumani kwa sababu ni top professionals walisense jamaa wanaanza kucrack na wakaitumia nafasi hiyo vyema kumaliza mpira kabla hata ya half time, waliwapress Brazil high up on the pitch kupata hizo goli tatu, hakuna easy goal scoring hapo, kama ni hivyo kwanini team zote zilizocheza na Brazil mpaka juzi zilishindwa kufanya alichokifanya mkoloni?
Kwa kumalizia ili kujua Wajerumani walikua top professionals juzi, Mats Hummels anakwambia wakiwa mapumziko walikubaliana not to humiliate the Brazilians in their own WC na hujasikia mchezaji wa Ujerumani akisema ile ilikua revenge ya 2002 or whatsoever lakini unasikia kina Muller wakisema Brazil hawakustahili kipigo kizito kile tena wakiwa nyumbani kwao.
Ayaaaaaa majanga sasa!
BAK njoo uone hii.....
hhahaha hata mimi nipo neutral,teamless nitaenjoy kwa kweli
Pole sana, sasa usinyong'onyee sana, utashindwa kumfariji everlenk