World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Rhino Rangers toka Tabora. Hii timu ilicheza ligu kuu ya Tanzania kwa mara ya kwanza msimu wa 2013/2014, na maskini msimu huo huo ikashuka daraja, hadi HURUMA. Ama kweli hii timu haina bahati.
 
Hivi kwani timu ya nchi kutokuwa na watu weusi kwenye kikosi chake ni ubaguzi?

Mimi nadhani kuwaza hivyo au kuangalia mahsusi ili kuona kama kuna watu weusi sehemu, ndo hisia za ubaguzi hizo.

Mie I am more interesting into the emerging gegenpressing style of play inayotumiwa na Wajurumani.

This style is making its mark at the world stage. Against the Brazilians, the Germans pressed them everywhere.

They played at full pace kwa dakika zote 90. They approached every minutes kama vile walikuwa wamefungwa.

They swarmed on the Brazilian, giving them no time on the ball at all.

Na Gegenpressing style of play, kama ukiiptatia fresh, inakupa magoli ya kumwaga. Hili tulishuhudia wenyewe juzi. Bao 7.

But you need to have players who know how to play it well, who are willing to play as a team, who are willing to defend and attack together as group.

Kwenye timu ya Ujerumani ni ngumu ku-pick mchezaji mmoja na kusema huyo ndiyo alikuwa their main star.

But let's see if Messi's ability will trump the gegenpressing the Germans will throw at him on Sunday.
 
Spot on!

Hata gemu ya jana si kwamba Ujerumani ili dominate kivile. Hapana.

Ni kwamba tu walipozipata fursa za kufunga, wakafunga magoli na hicho ndo kilichoua kabisa morali ya Brasil, hususan yale magoli manne ndani ya dakika sita.

Na haijalishi wewe ni nani, hata kama Ujerumani ingepigwa magoli manne ndani ya dakika sita wange-collapse tu.

Ni kama walivyocollapse a. Kwa R.madrid
 
Amekutana na kigogo, hawakuruhusu Roben afanye atakavyo, hakuachiwa nafasi hata apate kujiangusha. Naamini hata jumapili akina Muller, Klose, Kroos, Khedira na hata Mesut hawata tamba sana. Ni kwamba Argentina wana nidham sana. Kwa mtu aliyeangalia mechi ya German vs France atakubaliana na mimi Ujeruman ni wa kawaida tu ukikaza na kuziba mianya. Jana Brasil wameipa sifa za bure tu. Sijui Di Maria atakuwepo siku ya fainali au atakosa pia. Gemu ya leo ingeisha mapema kabisa angekuwepo Angel Di Maria, ule mpatano wake na Messi tumeumiss! Mascherano aendelee kukaza tu kwa wakina Hummels,Muller, Kroos na wengine!
umenena mkuu yaani jana pengo la dimaria liliwacost sana argentina ila final huenda akacheza big up argentina bravo messi
 
They swarmed on the Brazilian, giving them no time on the ball at all.

Na Gegenpressing style of play, kama ukiiptatia fresh, inakupa magoli ya kumwaga. Hili tulishuhudia wenyewe juzi. Bao 7.

Kwenye hiyo gemu ya juzi mimi naona ni Brasil wenyewe ndo waliipa ushindi Ujerumani na si kwamba Ujerumani walicheza spectacularly!

Sijui tu waliingiwa (Brasil) na mdudu gani maana hata kukaba walikuwa hawakabi. We angalia tu hata lile goli la kwanza. Mueller alikuwa hajakabwa kabisa.

Sasa mchezaji kama Mueller unamuacha wazi tena kwenye mpira wa kona unategemea nini? Na hata yale magoli mengine manne yaliyofungwa ndani ya dakika sita ilikuwa hivyo hivyo.

Defense ya Brasil siku hiyo haikuwepo kabisa. Ujerumani walikuwa wanafunga magoli kirahisi mno na hata wenyewe wanashangaa kilichotokea.

Halafu sasa ukiangalia zile dakika tisa za mwanzo Brasil walianza vizuri sana. Hata possession waliitawala wao.

German didn't play impressively. Rather, the easy goal scoring was shocking!

You won't see a repeat performance (by Germany) on Sunday because what happened on Tuesday was an aberration.
 
Hata sielewi Brazil walikuwa na matatizo gani kwa kweli! Walikuwa hawachezi kitimu na defense ndio ilikuwa hovyo kabisa ila pengo la kiungo wao na striker lilikuwa wazi kabisa.
 
Kwenye hiyo gemu ya juzi mimi naona ni Brasil wenyewe ndo waliipa ushindi Ujerumani na si kwamba Ujerumani walicheza spectacularly!

Sijui tu waliingiwa (Brasil) na mdudu gani maana hata kukaba walikuwa hawakabi. We angalia tu hata lile goli la kwanza. Mueller alikuwa hajakabwa kabisa.

Sasa mchezaji kama Mueller unamuacha wazi tena kwenye mpira wa kona unategemea nini? Na hata yale magoli mengine manne yaliyofungwa ndani ya dakika sita ilikuwa hivyo hivyo.

Defense ya Brasil siku hiyo haikuwepo kabisa. Ujerumani walikuwa wanafunga magoli kirahisi mno na hata wenyewe wanashangaa kilichotokea.

Halafu sasa ukiangalia zile dakika tisa za mwanzo Brasil walianza vizuri sana. Hata possession waliitawala wao.

German didn't play impressively. Rather, the easy goal scoring was shocking!

You won't see a repeat performance (by Germany) on Sunday because what happened on Tuesday was an aberration.

No doubt that Brazil under-performed and also lacked their two key players. Tena performance ya Brazil kwenye mechi nyingine hakuwa nzuri pia.

Lakini ushindi wa Ujerumani haukuwa wa bahati. Wajerumani waliwafunga kwa kucheza mpira ambao ni precise and inspiring.

Ni kweli zile dakika tisa za mwanzo Brasil walianza vizuri sana, lakini as the German coach said, they were extremely cool and realised the Brazil were cracking up, and the Germany took advantage of that.

And this was partly due to a 14-year plan of searching for kids among 80 million Germans ambao wanaweza kucheza mpira, kuwafundisha wakati wakiwa bado wadogo and attaching them to a professional team to develop, thanks to the Deutscher Fussball Bund.

Inawezekana Ujerumani wakafungwa on Sunday, but they have a sparkling future. The 14-year plan commenced in 2002 na mtoto wa miaka 6 aliyeingia kwenye hii plan leo hii atakuwa na umri wa miaka 18.

Draxler (19), Schurrle (22), Bender (24), Muller (23), Badstuber (24), Hummels (24), Ozil (24), Gundogan (22), Gotze (20), Reus (23), Kroos (23) bado wadogo. In fact fainali zilizopita, Müller aliongoza kwa kufunga mabao mengi na alikuwa na miaka 20 tuu.

Muller, Kroos, na Schurrle waliofunga baadhi ya magoli juzi ni sehemu ndogo sana ya talent machine ya Wajerumani inayokuja. So, hata kama wafungwa Jumapili sidhani kama itakuwa noma sana kama ilivyokuwa kwa Wabrazil.

http://static.bundesliga.de/media/native/autosync/dfl_leistungszentren2011_gb.pdf
 
No doubt that Brazil under-performed and also lacked their two key players. Tena performance ya Brazil kwenye mechi nyingine hakuwa nzuri pia.

Ni kweli, Brasil haikuwa impressive kivile kwenye mechi zile zingine lakini haikuwa this atrocious. Timu yoyote ile kwenye hii world cup ingeweza kabisa kuifunga Brasil hata magoli 10 siku ile.

Na timu yoyote ile, ingecheza kama ilivyocheza Brasil siku ile basi matokeo yangefanana tu na hayo. Hata hao hao Ujerumani wangecheza vibaya namna ile nao wangefungwa tu.

Brasil handed Germany the win.

Lakini ushindi wa Ujerumani haukuwa wa bahati. Wajerumani waliwafunga kwa kucheza mpira ambao ni precise and inspiring.

Of course it wasn't a fluke but it was largely aided by Brasil's odd performance. Germany capitalized on just about every mistake Brasil made.

But I don't think Germany's game was that inspiring. They were handed the victory.

Brasil threw in towel after the first goal and laid there and took a spanking without fighting back.

Something was majorly wrong with them that day. That performance was very un-Brasil-like and it was not a semi-final worthy-one, either.
 
Kwenye hiyo gemu ya juzi mimi naona ni Brasil wenyewe ndo waliipa ushindi Ujerumani na si kwamba Ujerumani walicheza spectacularly!

Sijui tu waliingiwa (Brasil) na mdudu gani maana hata kukaba walikuwa hawakabi. We angalia tu hata lile goli la kwanza. Mueller alikuwa hajakabwa kabisa.

Sasa mchezaji kama Mueller unamuacha wazi tena kwenye mpira wa kona unategemea nini? Na hata yale magoli mengine manne yaliyofungwa ndani ya dakika sita ilikuwa hivyo hivyo.

Defense ya Brasil siku hiyo haikuwepo kabisa. Ujerumani walikuwa wanafunga magoli kirahisi mno na hata wenyewe wanashangaa kilichotokea.

Halafu sasa ukiangalia zile dakika tisa za mwanzo Brasil walianza vizuri sana. Hata possession waliitawala wao.

German didn't play impressively. Rather, the easy goal scoring was shocking!

You won't see a repeat performance (by Germany) on Sunday because what happened on Tuesday was an aberration.

Kuna kina sisi ambao toka game 1 ya Brazil tulilalamika kuhusu kiwango chao kibovu na kubebwa na marefa, kwenye mechi kama ya Vs Colombia tuliiona Brazil inayocheza kama Stoke City na mimi binafsi niliambiwa nina chuki binafsi na Brazil kwa kukosoa mchezo wao mbovu kama rugby
Brazil ilikua mbovu kutokana na mambo mengi, kuanzia selection of players, mfumo waliocheza uwanjani, kocha ambaye anaonekana kuishiwa mbinu kila uchao, team kumtegemea sana Neymar na kuongozwa sana na emotions kuliko professionalism
Sijawahi kuona team so emotional kama Brazil hii, walikua wanalia sana wakivuka round, wakiimba wimbo wa Taifa mpaka wakongwe wao waliwakosoa hasa captain wa team na juzi kwenye mechi na Ujerumani nilishangaa kuona mpaka kocha anaingia uwanjani kavaa kofia imeandikwa "forca Neymar" na kabla ya hapo walishaita psychologist awasaidie vijana kuhusiana ana suala la Neymar, real? Halafu kabla ya mechi wakaingia na jezi ya Neymar utafikiri dogo labla kafa au kapata ulemavu wa maisha, na kocha wao aliruhusu hili bila kujua soka ni mchezo wa watu 11, this was lack of professionalism and they got punished for it
Pamoja na hayo watu hawataki to acknowledge that the Germans were far more superior than any Brazilian on the pitch, goal la kwanza la Muller unalosema aliachwa free mapundits/wachezaji wastaafu wanakwambia ile move ilitengenezwa kwenye training ground, Luiz alikua blocked na Klose ndio Muller akapata nafasi ya kufunga hakuna bahati wala magic ni ufundi tu, kama huamini tafuta replays
Goal la pili ni uzembe wa Marcelo kwa kiasi kikubwa, na baada ya hapo Wajerumani kwa sababu ni top professionals walisense jamaa wanaanza kucrack na wakaitumia nafasi hiyo vyema kumaliza mpira kabla hata ya half time, waliwapress Brazil high up on the pitch kupata hizo goli tatu, hakuna easy goal scoring hapo, kama ni hivyo kwanini team zote zilizocheza na Brazil mpaka juzi zilishindwa kufanya alichokifanya mkoloni?
Kwa kumalizia ili kujua Wajerumani walikua top professionals juzi, Mats Hummels anakwambia wakiwa mapumziko walikubaliana not to humiliate the Brazilians in their own WC na hujasikia mchezaji wa Ujerumani akisema ile ilikua revenge ya 2002 or whatsoever lakini unasikia kina Muller wakisema Brazil hawakustahili kipigo kizito kile tena wakiwa nyumbani kwao.
 
Nakubaliana na wewe kwa asilimia 10 ya ulichoandika hapo...hususan kwenye suala la Neymar.

Haikutakiwa wamchezee Neymar. Walitakiwa wachezee taifa lao.

Kuhusu Mueller....that was stupid to leave him open like when they could have put someone on him at least to contest for the ball.

He was left wide open.....who does that?
 
Dah! Hahahahahah lol! Kombe wameshachukua Wajerumani!!! Hata hamu tena ya kuangalia hii game imepotea. Mkuu Katavi ni aje Mkuu!? Si ulisema hutachagua timu baada ya #TeamBrazil kutolewa? LoL!!!! hahahahahaha. Hongereni #TeamGermany kwa kuchukua ubingwa CC: @Mounriho & Company.

Ayaaaaaa majanga sasa!
BAK njoo uone hii.....
 
Usisahau kwamba uamuzi wako wa kuwa Teamless umeufikia baada ya timu yetu ya Brazil kutolewa na pia Netherlands kutolewa jana, bado unakaribishwa #TeamArgentina ila yule Katavi kishafanya vitu vyake, na kama umjuavyo timu anayoichagua lazima ifungwe safari hii ameahidi trend ya timu anazozichagua kushindwa itafikia kikomo jumapili, mie siamini.

hhahaha hata mimi nipo neutral,teamless nitaenjoy kwa kweli
 
Last edited by a moderator:
Uzuri wa everlenk anafarijika kirahisi kabisa 🙂🙂 hana makuu ya kununa mwezi mzima au miezi lol!!!! Hivi Wakuu mna motisha kweli wa kuangalia game ya kutafuta mshindi wa tatu? Hii game kusema kweli mie huwa inanitia uvivu sana kuiangalia sijawahi kuiangalia game yoyote ile ya mashindano ya kombe la dunia ya kutafuta mshindi wa tatu, hata hii ya Jumamosi motisha hakuna kabisa

Pole sana, sasa usinyong'onyee sana, utashindwa kumfariji everlenk
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom