hahahahhaa. asante nipo #teamholland rasmi.
#Teambrasil no matter wht!
#Teambrasil no matter wht!
I believe in Brasil.
Nitakutafuta baada ya dk 90, wacha ninywe bia kwa nafasi...Alaaa! Kumbe wanacheza leo...?
Mi nilidhani waliinyuka Argentina, kwa hiyo wangekuwa wanacheza kesho....
Ilikuwaje kwani....?
You believe on Jamvi la wageni?
Hahahahahahahaaa! Poleni sana wadau!
Watu wanashangaa kwa nini Brazil kumetulia...kuna aina ya kipigo ambacho ni kama dawa. Kama wangefungwa bao moja tu ama mbili kusingekalika lakini saba! Hiyo inaitwa "shock treatment" na inachukua muda kurudiwa na fahamu. Ni kama kugusa waya wa umeme, inachukua muda kuzinduka na hata utakapozinduka ni vigumu kuamini/kuelezea kilichokupata.
Nitakutafuta baada ya dk 90, wacha ninywe bia kwa nafasi...
#Teamholland #TeamNetherlands ... Funga hao Brazil wajue kuwa samba sio issue tena kwenye soka!
Sitanii...serious bet..elfu hamsini?
Mshangao sawa, lakini wa aina gani? Positive or negative? Unatia moyo au unakatisha tamaa...hiyo ndiyo tofauti kati ya Germany na Brazil!Nakubaliana na wewe hapo. Kile kipigo ni lazima upooze maana hata waliokitoa (Wajerumani) nao hawakuamini yaliyotokea na sidhani hata wao wamesha-recover kutoka kwenye mshangao wao.
Magoli manne ndani ya dakika sita? Are you kidding me?