Leo neymar anacheza au macho yangu yamendanganya?
Mshangao sawa, lakini wa aina gani? Positive or negative?
Unatia moyo au unakatisha tamaa...hiyo ndiyo tofauti kati ya Germany na Brazil!
Scolari ndo anakumbuka leo kutomchezesha Fred,aisee ngoja tuone
Kilichotokea Jumanne hakitatokea tena.
Unless waache tena kucheza kama walivyoacha kucheza siku ile.
Timu yoyote inayoacha kucheza kwenye mchezo wa ushindani hushindwa vibaya.
Na baada ya kuadhirishwa siku ile, sidhani kama wako tayari kuadhirishwa tena.
I am telling you that loss will bring the best out of Brasil in the future.
Russia 2018 is our year.
Hapa naulizwa nani kamreplace Neymar?swali lingine nikaulizwa Neymar si aliumia kwa nini amekaa bench na wenzake?yupo benchi
Mkuu hawa Brazil wameshakariri ushindi wao upo chini ya Neymar. Na leo Neymar hayopo! Sijui itakuaje hapo! What do you think?
Leo neymar anacheza au macho yangu yamendanganya?
La kwanza linanukia... Leo!Alaaa! Kumbe wanacheza leo...?
Mi nilidhani waliinyuka Argentina, kwa hiyo wangekuwa wanacheza kesho....
Ilikuwaje kwani....?