World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Dakika mbili goli tayari?

Bado hawaja-recover hawa watu! Hahahahaaaaaaaa
 


Juda Iskariot anabebwa pen .... .... .. haka ka-diver kanakwenda Manure na Van Gaffe
 
Tusubiri tuone...ingawa nahisi kama vile bado hawaja-recover kabisa.

Yaani wanaruka ruka tu.

Ni ngumu sana kurecover kutoka kwenye kile kipigo aisee.

Na tuone neymar na silva wapo kitabadilika nn?......

Yaani akioneshwa scolari natamani kuvunja tv
 
Reactions: BAK
Refa kafanya 2 mistakes in 1. Haikuwa penalty na Ilikuwa red. Tutarajie either Brazil kukosa nafasi ya 2018 Urusi au kurudi na timu kali pia kubeba kombe Urusi . Time will tell.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…