palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,459
hii sasa noma. refa kafanya vizuri kutoa yellow tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tayari sabato inaanza muda si mrefu.!!
Wataanza kupanic saivi ndicho wanachonikera
Dakika mbili goli tayari?
Bado hawaja-recover hawa watu! Hahahahaaaaaaaa
Tusubiri tuone...ingawa nahisi kama vile bado hawaja-recover kabisa.
Yaani wanaruka ruka tu.
Ni ngumu sana kurecover kutoka kwenye kile kipigo aisee.
Ningekua refa pale ni red card bila mjadala.!