dah hawa brazil mpaka wanatia huruma
mtoto gani....
Bhana usieke picha mbaya kamchina kangu kanaload sana! Kama vipi weka warembo wa kibrazil and/or wakiholand tusafishe macho! Kazi na dawa bhana!
Hapa Ref. kacheza rafu aisee.
Hapa Ref. kacheza rafu aisee.
hahahaa mshapata mawili then mpate dawa
Brazil wamakimbia na mpira hao wakipata full kukimbia hawatulii hata na mpira.
no prob...nani wa kusimamia hili, km utani vile messi kapteni anabeba kitu
hivi maumivu mmeyazoea au?
Natamani sana nione game ya Tanzania na Brazil kwa kweli