World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Leo hata hawalii...hahahaaa.

Nadhani watakuwa walilia vya kutosha siku ile.

3-0.
 
Bora hatimaye wijnaldum kapata goli .. amecheza vizuri sana tangu mwanzoni ..
 
Khe khe khe goli 10 katika mechi mbili, timu iliyofungwa magoli mengi kuliko timu yoyote ile katika mashindano haya ya 2014. Na si ajabu tukiangalia 2010, 2006, 2002, 1998 labda hakuna timu iliyochabangwa goli nyingi kama Brazil. Kwa rekodi hii Babu Scolari bado anataka kuendelea kuwa kocha!?
 
nikalale tu hakuna jipya najilaumu why did I wake up ningeendelea na usingizi wangu.

hongera Netherland ....

Brazil niko disappointed nao.

Kalale tu mwaya! Diripu zenyewe nimemfunga mbrazili mwenzio hapa!

kibanda ndio kinazidi kuteketea hiko Br 0-3 Nd!

Uwe na usiku mwema! Na usisahau kufanya tahajudi!
 

Duh!! Aibu aibu!! Hata Africa hawajawah kufanya hii mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…