World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Brazil sio timu ya kufungwa goli 10 mechi 2 tena kwao,Hiki ni kikosi dhaifu cha Holland chenye average players na chipukizi wengi huwezi kulinganisha hata cha 98 ambacho kilitolewa na Brazil

Ajabu ni ipi hapo? Mpira wa siku hizi kama tactic zako hukuzifanyia home work unaweza kufungwa magoli mengi tu nakushangaa sana. Ati Holland wana chipukizi. Judas ni chipukizi? Robeno ni chipukizi? Kuyt ni chipukizi au neno chipukizi lina maana nyingine kule Old Trashford? Wewe sema ukweli tu Wadachi wamejaza divers hata wao kupita na kufika hapa ni kwa sababu ya dhuluma ya king of divers kupata penalty kwenye dakika za nyongeza au ndio unapalilia brown envelopes zile zinazotolewa Old Trashford? khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Hata wachambuzi wa ESPN wamekubaliana na mimi kuhusu kukosekana kwa bona fide goal scorer -center forward kwenye hii timu ya Brasil ya mwaka huu.
 
Hata wachambuzi wa ESPN wamekubaliana na mimi kuhusu kukosekana kwa bona fide goal scorer -center forward kwenye hii timu ya Brasil ya mwaka huu.

sikumuelewa Scolari kumuacha Kaka na Robinho.......mbona wenzie kina Robben wazee but bado wamo?
 
Ingekuwa hivyo Wajerumani wangeichapa Ghana na Algeria 10 au hata 15, lakini haikuwa hivyo almanusra waadhirike.

Kwa hiyo mkuu unakataa kuwa sisi Africans kwenye soka sio kama tu wanyama mwitu?
 
Robben anastahili uchezaji bora wa mashindano ingawa FIFA wanaweza kumpa Messi(atakuwa kapendelewa) kama Argentina wakichukua.
 

Acha kutokwa na mapovu kwanza,Ukiondoa Kuyt,Roben,RVP,DeJong most of Dutch players haya ndio mashindano yao ya kwanza wengi hata Euro 2012 hawakuwepo wengi wao walikuwa hawajafikisha hata mechi 20 kwenye za kimataifa.Kwakuwa Arsenal wamezoea kufungwa 4,5,6,8 so unaona ni sawa hata Brazil kufungwa goli 10 mechi 2 ni sawa
 

Belo yupo Sahihi,ukiondoa kuyt,RVp,Robben,Sneidner waliobaki wengi ni kama chipukizi . wasingeweza kupata wala kufikiriwa kwa Holland ya 1994-2002.In fact hata hao niliowata labda wasingeweka mguu katika Holland ya miaka hiyo.
 
sikumuelewa Scolari kumuacha Kaka na Robinho.......mbona wenzie kina Robben wazee but bado wamo?

Yaani timu inakosa center forward? Tena Brasil? Brasil ya akina Garincha, Pele, Zico, Romario, Bebeto, Aldair, Dunga, Ronaldo?

Wamechagua hivi visharobaro vilivyojigonga matatuu kama wacheza basket wa Marekani....

Sielewi kabisa aisee.

Najua kutakuwa na serious soul-searching ambayo itazaa matunda.

Hata kabla ya Brasil kushinda kombe la dunia mwaka 1994, mara ya mwisho kushinda ilikuwa mwaka 1970.

Kwa hiyo walikuwa na ukame wa miaka 24 (kama walio nao Ujerumani sasa hivi).

Scolari hawezi kabisa kusalimika.

Na hicho kikosi cha wachezaji wakirudi tena nitashangaa sana.

Mi naona bora waunde timu upya kabisa.

Hivyo visharobaro tupa kule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…