Mashaxizo
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 6,707
- 3,346
hahahahhahaa. Ngoja tusubiri kesho
Let us wait!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahhahaa. Ngoja tusubiri kesho
Kwa mara ya mwisho wakiwa kwenye fainali za kombe la dunia argentina alimfunga germany 3-2 hii ilikuwa 29/06/1986
Ice cream tele ile mambo wewe tu...nakusubiri...
Ila ndo ujue Argentina asiposhinda siji,ntakuwa very stressed
Hivi huyu zeruzeru wa tbc1 anataka nini, mbona kazi yake kuishambulia brasil tu
mwaka 1990 ujerumani magharibi iliifunga argentina 1-0.
Brazil sio timu ya kufungwa goli 10 mechi 2 tena kwao,Hiki ni kikosi dhaifu cha Holland chenye average players na chipukizi wengi huwezi kulinganisha hata cha 98 ambacho kilitolewa na Brazil
Failed!
uchambuzi wake unaongozwa na hisia zaidi.
Hata wachambuzi wa ESPN wamekubaliana na mimi kuhusu kukosekana kwa bona fide goal scorer -center forward kwenye hii timu ya Brasil ya mwaka huu.
Ingekuwa hivyo Wajerumani wangeichapa Ghana na Algeria 10 au hata 15, lakini haikuwa hivyo almanusra waadhirike.
sikumuelewa Scolari kumuacha Kaka na Robinho.......mbona wenzie kina Robben wazee but bado wamo?
Ajabu ni ipi hapo? Mpira wa siku hizi kama tactic zako hukuzifanyia home work unaweza kufungwa magoli mengi tu nakushangaa sana. Ati Holland wana chipukizi. Judas ni chipukizi? Robeno ni chipukizi? Kuyt ni chipukizi au neno chipukizi lina maana nyingine kule Old Trashford? Wewe sema ukweli tu Wadachi wamejaza divers hata wao kupita na kufika hapa ni kwa sababu ya dhuluma ya king of divers kupata penalty kwenye dakika za nyongeza au ndio unapalilia brown envelopes zile zinazotolewa Old Trashford? khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Wadau niwatakie usiku mwema,mlale unono wote,kwa wakristo msisahau kwenda kanisani asubuhi,kwa waislam muendelee na ibada njema ya funga.
sikumuelewa Scolari kumuacha Kaka na Robinho.......mbona wenzie kina Robben wazee but bado wamo?