World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Tukipata hela toka Barca tuingie sokoni tumchukue Thomas Muller acheze na Sturrigde pale mbele.Mwa huu tunachukua ubingwa mechi 5 kabla ligi haijaisha!!
Team sterling
 
Last edited by a moderator:
Tukipata hela toka Barca tuingie sokoni tumchukue Thomas Muller acheze na Sturrigde pale mbele.Mwa huu tunachukua ubingwa mechi 5 kabla ligi haijaisha!!
Team sterling

eti "tukipata hela" teh teh we uko tandale huko,liver anakujua nani?
 
Last edited by a moderator:
Argentina leo anachukua mara ya 3 ubingwa kuweka historia ingine ya soka la Dunia hii
 

kuna watu wanavituko dunia hii.....u made my day.
 

Walitaka kuonyesha uzalendo wao baada ya kulitia taifa aibu ya karne!
 
yeah andate!ila leo tutawapiga 5-0 wasichekane na jirani yao Brazil

Spain alimfunga Germany mwaka 2010 kule kwa Madiba!Je ina maana wangerudiana leo Germany angefungwa?
Historia HAINA nafasi kwenye soka!Messi kawa mature hawaachi leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…