BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Halafu namna alivyoaga alionekana kuumizwa sana na yale matokeo....Chezeya kupenda weye!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuongee kuhusu soka na kubwa zaidi tujadili mustakabali wa team yenu ya Taifa ya Brazil ehehehehe!
Huku tunatafuna mishikaki ya mbuzi pori
Nimeshapoa Best lakini goli 7 hazikuniuma sana kama ile penalty ya Greece zikiwa zimebaki sekende 30 na hivyo kuitoa Ivory Coast.
Yaaani leo Argentina watakuwa wanatiririka hatariiii
Mashabiki wa bongo mnatia huruma...wapo waliotangaza toka awali kabisa kuwa bingwa wa kombe la Dunia 2014 anayesubiri tu kukabidhiwa kombe rasmi ni Brazil ; sisi wengine tunaofuatilia kandanda linavyotandazwa uwanjani tukaguna nnh! Mashabiki hao hao sasa wamegeuka wanapowaponda wachezaji wale wale wa Brazil eti kwa kuonesha viwango duni! Mimi najikuta naguna tena nnh! Najiuliza, hivi ingekuwaje kama Brazil ndio ingeifunga Ujerumani, hao akina Luiz, Marcelo, Dante, Alves, Victor na mlinda mlango Ceaser mngewaponda kweli? Kwa nini hamko tayari kukubali kirahisi kuwa timu ya Ujerumani ni timu bora kuliko ya Brazil?
Badala ya kuwakashifu hao wachezaji mnaowapenda, kwa nini msielekeze sifa pale kunakostahili kwa wachezaji wa Ujerumani? Haya, imetokea tena leo; pamoja na Silva kuwa ndani Brazil imezidi kuvuna ilichopanda, kwa nini Mholanzi asipewe sifa? Kwa nini Roben, Ron, Paul, Joel na kipa wao Michael hamuwapi haki yao? Okay kesho kuna kinyang'anyiro kingine kati ya Argentina na Ujerumani na mpaka sasa ni Ujerumani ndiyo imeonesha kiwango cha juu katika haya mashindano...nawaomba muwe tayari kupokea matokeo bila kinyongo; msiruhusu ushabiki uwafunike macho hadi mshindwe kuenjoy gozi linavyosakatwa hadi mshindi apatikane na kupongezwa. Usiku mwema!
hahaha unipe muelekezo tu mie ntafika eneo la tukio.
Brazil sina hamu nao.
Mkubwa sijakuona muda wote wa WC, ila hapo umechemsha!We binti hebu kalale ukue. baadae uungane nami kumshangilia mtakatifu mwenzangu Messi.
Leo ndio utajua faida ya ubishi wako!Messi leo watamzomea sana lkn atawanyamazisha
Sio saba ....kumi...lol
Usijali binti, Messi atayafuta machozi yako. Mungu amekisikia kilio chako.
Leo kiwanja cha nyumbani Ukonga-Gongo la mboto bar inaitwa Chadibwa karibu sana na makabuli ya Mzee Njenje!
Nipo hapa hadi saa 2 usiku!!Wakuu njooni tujadili soka!!