Katavi yupo ArgentinaNikiwa kama Refa wa kujitolea humu na kwa niaba ya wanasport wote humu, ndugu Katavi popote pale ulipo tunakuomba sana tena sana USITAJE timu unayoishabikia,wewe umekuwa ni zaidi ya Mtabiri humu,hatukunyanyapai ila tunakupenda sana.
cc MEANDU BAK Malafyale Bantu lady, Victoire, Heaven on Earth, Bulldog, @BWAN'CHUCHU, adolay, s.crony mournho Skype DEMBA na wengine wote.
haya tusubiri,ingawa mimi leo sina timu,itakayoshinda hiyo hiyo!
Hata kidogo,nipo namfeel Muller,kroos na Klose.Halafu nikipiga picha Angela atakuwepo uwanjani basi tena ndo mdogo mdogo naifeel GermanyMhhhhhh! Ni aje Victoire? Hujaanza kuwafeel akina Messi jinsi anavyowatoka mabeki wa Ujerumani na kutoa chumba kwa Arguero ambaye anapiga shuti la nguvu na kuzitingisha nyavu za Wajerumani?
Hata kidogo,nipo namfeel Muller,kroos na Klose.Halafu nikipiga picha Angela atakuwepo uwanjani basi tena ndo mdogo mdogo naifeel Germany
niambie ndugu yangu kwema kabisa? Karibu #teamgermany tufanye vitu leo
Katavi yupo Argentina
kwema sana ndugu, nipo hapa nahesabu dakika tu kabla hatujaenda kupeleka kilio kwa wana wa argentina na viambata wao. Dozi ile ile kwa dk zile zile kwa bara lile lile, muller, ozyl, schurle, shwanstaiga, gotze, ayayayaaa wakati wao ni mesi na di maria pekee.
Kumbuka hapo sijamtaja emanuel nuer, bonge la mwamba usiopenyeka kirahisi.
Kombe linaenda Argentina, so jiandaeni kuwasaidia Wajerumani kulia. Maana sisi muda huo kilio chao hakitatuhusu.
kazi wanayo leo labda tutapata matokeo mengine germany 6 argentina 2
nipo kwa wakoloni wetu leo,,,,, make huwa tunapeleka bakuli huko... argentina kwn washawahi kudunduliza kwenye bakuli letu mbn mnaipenda ivo?
hapana mkuu matokeo ya leo ni
germany 3-1 argentina ila mtanange utakua mkali sana.
#Team Argentina leo unatoka umeinama na mkoloni wako.Germany ninayoifahamu huwezi kuifunga kabla ya dk 90 kuisha na ukajiaminisha umeshinda, kwanza wao ni wataalam wa vichwa, ikitengwa kona au faulo ni sawa na kutenga penati, sasa hapo atapona mtu kweli? Pole Argentina na wafuasi wao wote popote mlipo duniani.