World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Mhhhhhh! Ni aje Victoire? Hujaanza kuwafeel akina Messi jinsi anavyowatoka mabeki wa Ujerumani na kutoa chumba kwa Arguero ambaye anapiga shuti la nguvu na kuzitingisha nyavu za Wajerumani?
Hata kidogo,nipo namfeel Muller,kroos na Klose.Halafu nikipiga picha Angela atakuwepo uwanjani basi tena ndo mdogo mdogo naifeel Germany
 
  • Thanks
Reactions: BAK
_76234045_danroansecuritystafftweetpic.jpg

[h=4]Operation code word 'Maracana'[/h]"Just a few of the 25,000 security personnel at the Maracana - biggest security operation in Rio's history."
 
niambie ndugu yangu kwema kabisa? Karibu #teamgermany tufanye vitu leo

Kwema sana ndugu, nipo hapa nahesabu dakika tu kabla hatujaenda kupeleka kilio kwa wana wa Argentina na viambata wao. Dozi ile ile kwa dk zile zile kwa bara lile lile, Muller, Ozyl, Schurle, Shwanstaiga, Gotze, ayayayaaa wakati wao ni mesi na di maria pekee.

Kumbuka hapo sijamtaja Emanuel Nuer, bonge la mwamba usiopenyeka kirahisi.
 
kwema sana ndugu, nipo hapa nahesabu dakika tu kabla hatujaenda kupeleka kilio kwa wana wa argentina na viambata wao. Dozi ile ile kwa dk zile zile kwa bara lile lile, muller, ozyl, schurle, shwanstaiga, gotze, ayayayaaa wakati wao ni mesi na di maria pekee.

Kumbuka hapo sijamtaja emanuel nuer, bonge la mwamba usiopenyeka kirahisi.

kazi wanayo leo labda tutapata matokeo mengine germany 6 argentina 2
 
Kombe linaenda Argentina, so jiandaeni kuwasaidia Wajerumani kulia. Maana sisi muda huo kilio chao hakitatuhusu.

Kama upo karibu na zahanati nakushauri umwone mtaalam wa saikolojia kabla mechi haijaanza.
 
Afadhali WC 2014 iishe maanake ingekuwa bado inaendelea, kuna watu sijui wangehamia wapi! Kila timu wanayoishabikia ikifungwa wanahamisha kambi...na balaa haiwaachi wapumue, inawafuata huko huko!
 
nipo kwa wakoloni wetu leo,,,,, make huwa tunapeleka bakuli huko... argentina kwn washawahi kudunduliza kwenye bakuli letu mbn mnaipenda ivo?
 
nipo kwa wakoloni wetu leo,,,,, make huwa tunapeleka bakuli huko... argentina kwn washawahi kudunduliza kwenye bakuli letu mbn mnaipenda ivo?

Karibu mkuu kwenye timu madhubuti ambayo ina uhakika wa kubeba ndoo na hata ikishindwa basi kwa taabu sana.
 
Germany ninayoifahamu huwezi kuifunga kabla ya dk 90 kuisha na ukajiaminisha umeshinda, kwanza wao ni wataalam wa vichwa, ikitengwa kona au faulo ni sawa na kutenga penati, sasa hapo atapona mtu kweli? Pole Argentina na wafuasi wao wote popote mlipo duniani.
 
[h=2]Putin Says Fans Won't Need Visas to Attend 2018 World Cup in Russia[/h]
 
Germany ninayoifahamu huwezi kuifunga kabla ya dk 90 kuisha na ukajiaminisha umeshinda, kwanza wao ni wataalam wa vichwa, ikitengwa kona au faulo ni sawa na kutenga penati, sasa hapo atapona mtu kweli? Pole Argentina na wafuasi wao wote popote mlipo duniani.
#Team Argentina leo unatoka umeinama na mkoloni wako.
 
Back
Top Bottom