#Teampapafrancis .....leo zamu ya south america kutwaa ndoo #WC2104 .
#Team Argentina leo unatoka umeinama na mkoloni wako.
#team reli ya kati
Jamani huo mpira sa ngapi nikacheck mess atakavowafumua wakoloni.
Hela ya bure hiyo dada tuichukue tukaimalize Bar!Argentina HAWANA Neymar wala Gustavo;Fred wala Bernad ambao ni watu wa mbele wa hovyo hovyo kabisa kupata kuichezea Brazil!!
Germany Jumapili itakutana na Di Maria;Aguero;Enzo Perez;Lavezzi;Higuaini na Massiah Messi ambao individually wanaweza badili matokeo popote pale duniani!
#Team ikulu ya baba Riz
Ngoma saa 4 kamili usiku ndipo mkoloni anaanza kugawa dozi nene
Asante mkuu, lakini subiri kichapo toka kwa mess.
#teamGermany hata tukivua fulana tunabeba ndoo bila wasiwasi.
Jamani huo mpira sa ngapi nikacheck mess atakavowafumua wakoloni.
ndio walijenga nyumba ya baba Riz leo tupo nao pamojaHayo ya ikulu sina elimu nayo ila nachojua ni kwamba Germany leo analipiza kisasi kwa hasimu wake mwingine baada ya yule wa juzi kati kumshindilia wiki.