World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Mimi kwa kweli napata shida kidogo kwa wale wanaosema Argentina chini ya Messi wakishinda kombe la dunia, basi Messi atakuwa mchezaji bora aliyewahi kutokea duniani!!

Kweli?!? Yaani atawazidi Pele na Maradona kwa kushinda kombe hili? Ebu tuwe wakweli katika nafsi zetu..Pele na Maradona wapo level nyingine kabisa, ambayo Messi hawezi kuifikia kwa kushinda kombe hili la dunia.

Messi akishinda kombe hili, atakuwa katika level za akina Zidane, Dinho na de Lima tu. Sijui kuna nini katika mitazamo ya watu juu ya Messi!

Anyway, ngoja tusubiri fainali...
 
Arrive home safely!Maandalizi yote yamekamilika kreti iletwe sebuleni;tuanze kushangilia ushindi wetu
Team MESSI
 
Last edited by a moderator:
Mimi kwa kweli napata shida kidogo kwa wale wanaosema Argentina chini ya Messi wakishinda kombe la dunia, basi Messi atakuwa mchezaji bora aliyewahi kutokea duniani!!

Kweli?!? Yaani atawazidi Pele na Maradona kwa kushinda kombe hili? Ebu tuwe wakweli katika nafsi zetu..Pele na Maradona wapo level nyingine kabisa, ambayo Messi hawezi kuifikia kwa kushinda kombe hili la dunia.

Messi akishinda kombe hili, atakuwa katika level za akina Zidane, Dinho na de Lima tu. Sijui kuna nini katika mitazamo ya watu juu ya Messi!

Anyway, ngoja tusubiri fainali...

Kwangu mimi Messi hana kiwango hata cha hao manguli watatu umewataja hapo, Zizou, Dinho na El Phenomena
Yeye atatamba kwenye kizazi hiki chenye uhaba wa vipaji
 
article-2689990-1F992BD100000578-377_636x445.jpg

Patashika nguo kuchanika
Asiye na mwana aeleke jiwe ... .... ..

The best prepared team will win ..... ...... refa atatoa mchango mkubwa kwa winners .... is it
Buenos Aires or Berlin who will be celebrating?

article-2688880-1F9D210F00000578-730_964x386.jpg

1405270705452_lc_galleryImage_BERLIN_GERMANY_JULY_13_Fa.JPG

1405268802719_lc_galleryImage_BANNER_ARG_GER_EARLY05_jp.JPG

1405268259910_lc_galleryImage_Russia_s_President_Vladim.JPG

Putin hakuchelewa kujinadi ... .... .. 2018

1405268489494_lc_galleryImage_RIO_DE_JANEIRO_BRAZIL_JUL.JPG

Angela nae anajidai ... ....

1405267306369_lc_galleryImage_BERLIN_GERMANY_JULY_13_Fa.JPG

1405266628832_lc_galleryImage_Workers_prepare_for_the_c.JPG

Maracana imevamiwa na Argentinians .... .... . ..
Brazilians heads down ....

Back
Top Bottom