Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
All the best Germany team
ahaa tbc si watuonyeshe shamrashamra jamani kule brazil
Kama unaelekea St Mary's,. Ilipokuwa NBC zamani
Mkuu hii kitu nadhani ni 2200hrs EAT (Saa nne usiku kwa muda wetu bongo)
Panaitwaje mkuu niko njiani hope aukonamwela
kwani shamra shamra zimeanza..?
zitakuwa zimeshaanza bana...
Mkuu utasababisha the admires (wanaovutiwa) wote wahamie German ...... teeh teeh teehe
zitakuwa zimeshaanza bana...
Mimi kwa kweli napata shida kidogo kwa wale wanaosema Argentina chini ya Messi wakishinda kombe la dunia, basi Messi atakuwa mchezaji bora aliyewahi kutokea duniani!!
Kweli?!? Yaani atawazidi Pele na Maradona kwa kushinda kombe hili? Ebu tuwe wakweli katika nafsi zetu..Pele na Maradona wapo level nyingine kabisa, ambayo Messi hawezi kuifikia kwa kushinda kombe hili la dunia.
Messi akishinda kombe hili, atakuwa katika level za akina Zidane, Dinho na de Lima tu. Sijui kuna nini katika mitazamo ya watu juu ya Messi!
Anyway, ngoja tusubiri fainali...
Kama unaelekea St Mary's,. Ilipokuwa NBC zamani