Diddy na Top garage kama uji na mgonjwa.
Me leo nitakua hapo.
#teamgermany #teammkoloni ........kroos, muller, lahm and co wataongoza mkoloni kumfanyia kitu mbaya argentina
leo ndo leo mkoloni ndio habari ya mujinii
Tayari kilio kwa mesi na dimaria
Then Naelekea wapi
everlenk come up my darling, u-timgani nikusupoti leo, yenye side utakuwa basi namimi pia.
Ukuje tujumuike kwa pitch muda ikifika, hope umenisoma.
zitakuwa zimeshaanza bana...
Kama nani na nani?
Nimekuja wangu,duh! Leo naona wadau humu ndani wanapeana matambo si mchezo!! Mimi kama kawa ni muargentina pure.