World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Tayari kilio kwa mesi na dimaria

Hakuna kilio chochote hapa mzee!
Ukiacha mashine hizo mbili Messi & Di Maria, bado zipo mashine za maangamizi kama: Zabaleta, Rojo, Mascherano, Biglia, Aguero, Perez, Lavezzi n.k. I bet Mkolozi atalamba goal 2 bila!
 
everlenk come up my darling, u-timgani nikusupoti leo, yenye side utakuwa basi namimi pia.

Ukuje tujumuike kwa pitch muda ikifika, hope umenisoma.

Nimekuja wangu,duh! Leo naona wadau humu ndani wanapeana matambo si mchezo!! Mimi kama kawa ni muargentina pure.
 
Last edited by a moderator:
Brazil striker Fred announced his retirement from international football, but will continue to play for his club Fluminense
 
#TeamGermany oyeeeee
Jamani baada ya kulizwa ma hawa watu leo kwa kujitolea kabisa nawadhabikia. Maana Brazil niliacha angalia kabisa mechi zao, nasikia jana walipigwa tena
 
Sauti kutoka uwanjani very very poor, hata kwenye ufunguzi ilikua hivihivi, shame!!!
 
Leo ni leo yule Mkoloni wetu wa Zamani anamaliza kazi aliyotumwa. Kumumaliza Messi.
 
Back
Top Bottom