World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Puyol kaleta kombe.Sijui kati ya Lahm na Messi nani atalibeba?
 
Kwangu mimi Messi hana kiwango hata cha hao manguli watatu umewataja hapo, Zizou, Dinho na El Phenomena
Yeye atatamba kwenye kizazi hiki chenye uhaba wa vipaji

Kuna watu (haswa kwa kukolezwa na siasa za FIFA) wanamwona Messi kama mchezaji wa ajabu kutokea duniani!

Kwangu mimi C. Ronaldo anaujua mpira kuliko Messi...ila huu ni mjadala mwingine kabisa.

Kuna wachezaji wengi tu wameshashinda kombe la dunia, UCL, makombe ya ligi, na tuzo binafsi mbalimbali lakini hawajawahi kusemwa ni 'greatest player ever'! Hakika katika Karne hii ya 21, Zidane, de Lima na Dinho bado hawana mshindani. Jamaa walikuwa wanaujua mpira wa miguu aisee...

Sina chuki na Messi, ila naitenda haki nafsi yangu.
 
Huyu coach wa Germany kazi ni kurudia shati moja tu
Sijuwi ndio uganga wake leo akipiga tena week "nitaamini
 
Je,unajua kuwa mambo yamepangwa Kuhusiana na fainali za kombe la dunia la mwaka huu? hebu ona nchi zilizofikia fainali ndiko mapapa wote 2 wanatokea,PAPA Benedict wa 16 toka Ujerumani na PAPA Francis toka Argentina. Je ,unaamini kwamba jumapili Ujerumani inawezekana itaiachia ubingwa Argentina kama Papa Benedict alivyomuachia Papa Francis kiti cha Upapa? Toa maoni yako kuhusu utabiri huu.NAKUTAKIA TAFAKARI.


Nimecopy sehemu.
 

Kuna watu wanahitaji kusoma hizi busara Mkuu, tutaendelea taratiiiibu kuwaelimisha hawa mamluki wa soka walioanza kuangalia mpira juzi.
 
Maracana lkn team ILIYOFUNGWA inauita uwanja huo huo kama ni MARACANAZO!Leo Germany watachezea uwanja wa MARACANAZO Argentina watakuwa MARACANA
 
Eeeeeeeeeh.... leo ndo mtaijua kitu inaitwa "The German Machine" hakuna cha messi wala nani sijui Rojo sijui higuain nasema hakuna pambafffffff....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…