Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,603
- 13,654
haya MATBC yanakera sana kwa kweligoma litaanza soon
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haya MATBC yanakera sana kwa kweligoma litaanza soon
Hoyeeeeeeeeeee.!!Ukiwa Argentina unastahili kujisifu, kujionesha and a like!
Proud to be Argentina!
#TeamArgentina hoyee?
Puyol kaleta kombe.Sijui kati ya Lahm na Messi nani atalibeba?
Kwangu mimi Messi hana kiwango hata cha hao manguli watatu umewataja hapo, Zizou, Dinho na El Phenomena
Yeye atatamba kwenye kizazi hiki chenye uhaba wa vipaji
Kuna watu (haswa kwa kukolezwa na siasa za FIFA) wanamwona Messi kama mchezaji wa ajabu kutokea duniani!
Kwangu mimi C. Ronaldo anaujua mpira kuliko Messi...ila huu ni mjadala mwingine kabisa.
Kuna wachezaji wengi tu wameshashinda kombe la dunia, UCL, makombe ya ligi, na tuzo binafsi mbalimbali lakini hawajawahi kusemwa ni 'greatest player ever'! Hakika katika Karne hii ya 21, Zidane, de Lima na Dinho bado hawana mshindani. Jamaa walikuwa wanaujua mpira wa miguu aisee...
Sina chuki na Messi, ila naitenda haki nafsi yangu.
Pesa yangu nimeweka Germany. Acha iliwe tu!
Bwa'Nchuchu hii haikubaliki mkuu!Matusi hayana nafasi ktk jamii inayojiheshimu kama hii!Muombe radhi uliyemtukana na maisha yasonge mbele!Baada ya dakika 90 leo tuagane hapa kwa amani!!Spaciba
Naunga mkono hoja hii!Bwa'Nchuchu hii haikubaliki mkuu!Matusi hayana nafasi ktk jamii inayojiheshimu kama hii!Muombe radhi uliyemtukana na maisha yasonge mbele!Baada ya dakika 90 leo tuagane hapa kwa amani!!
Inasikitisha sana kwa kweli