Ushindi.....here We go
VamosArgentina!
Tunashinda mkuu
Hoyeeeee
Messi do them something
goma litaanza soon
Ebana umeona hizo jezi zina vinyota eeh?
Hivyo vinyota vinaashiria idadi ya ubingwa ambazo nchi ishashinda.
Brasil walikuwa na vitano, Argentina naona wana viwili, na wakoloni wana vitatu.
Tutaona nani atalala mvunguni btw me n u
Leo sijui utameza shoka? Germany hawashikiki