World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

VamosArgentina!

Ebana umeona hizo jezi zina vinyota eeh?

Hivyo vinyota vinaashiria idadi ya ubingwa ambazo nchi ishashinda.

Brasil walikuwa na vitano, Argentina naona wana viwili, na wakoloni wana vitatu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Huu uzi vipi leo, naona unapoteza maana sasa. Hii haukubaliki kwa watu wa Mpira.!!
 
Ebana umeona hizo jezi zina vinyota eeh?

Hivyo vinyota vinaashiria idadi ya ubingwa ambazo nchi ishashinda.

Brasil walikuwa na vitano, Argentina naona wana viwili, na wakoloni wana vitatu.

wakoloni wanaongeza cha nne leo...
 
Huyu kocha wa wakoloni hilo shati lake jeusi mwisho kuvaa leo maana ataona linamkosi.

#Team Argentina kombe letu hili.
 
Back
Top Bottom