wengi maana hata yule mchezaji alishangilia kwa nguvu zote
100% germany anapigwa leo,argentina wako very technical.
Germany hajui alikutana na timu dhaifu ndo mkaona kama anajua. Leo lazima mlie
Shule ni shule tu anawatesa kinoma, inakula mwamba hapa
Wajerumani wakishinda hii mechi siingii jf mpaka kesho saa nne asubuhi.....
hapo ilibakia kidogo tu afunge
daah mesi anatutesa jameni
Mungu atasimama na wanaodharauliwa...German wamefanywa miungu watu. Lazima Argentina wainuliwe leo