analia huyooo
Hongera mkuu, nimeiona kazi ya mkoloni.
analia huyooo
Full happy golden boot kwa James Rodriguez
Angalau tumekuja kuona goli la kweli...lililofungwa uwanjani na siyo jamvini. Hongereni Germany, mimi ni shabiki wa timu inayofunga siyo inayofungwa. Usiku mwema.
Full happy golden boot kwa James Rodriguez
mesi nyamaza kulia mwana
Messi bado sana...na atasubiri sana..
wabrizil wamefurahi kwelikweli