World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Toka walipowadhalilisha Brazili, nilijua hawa jamaa ndiyo mabingwa hata kama kweli sikuwapenda!
 
Dah haya bana ni ngumu sana ila ndio hivyo Brazil angekuwa anachukua hili kombe leo kama wasingefanya ule ujinga wa wiki iliyopita.
Nawapa hongera hawa wauaji ila roho inaniuma sana. Ningekuwa mchezaji wa Brazil sijui kama ningeishi
 
Waache wa Argentina walie dah, kutoka kote walikotoka, kufika mwisho kombe linaenda kwingine. Buenas nochos.
 
Haya world cup imeisha turudi kwenye mambo ya katiba na ukawa sasa
 
BsdGptSCEAAKmDZ.png
 
Messi bado sana...na atasubiri sana..

Messi ni mchezaji mzuri lakini sio kama wanavyomsifia. My opinion namweka juu ya Ronaldinho ingawaje wana JamiiForums wengi wanadhani Ronaldinho ni bora.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Hongera Ujerumani kwa kushinda Kombe la Dunia Brazil 2014 mlistahili kabisa!!!!!
 
Back
Top Bottom