World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

WorldCup Kama hizi unawaonea huruma watoto wadogo sababu wengi wanalia watoto chini ya age 10 sababu wanamuona Messi Kama Ben10 Kama Toys wao Hero wao, ku fail kwa messi kubaya kwao, kwenye TV unaona Kama sio vizuri kuwavuta Watoto wanalia Goli la Gotze litakumbukwa miaka mingi Kama la Rossi linavyokumbukwa.
 
Reactions: BAK
Jinsi walivyo walevi hawa watu leo watakunywa hadi bia zikimbie.
 
Kwa taarifa yako idadi ya magoli imeifikia record ya magoli yaliyofungwa mwaka 2002. Yalifungwa magoli 171. Na WC hii ya 2014 pia yamefungwa 171.
Na ndio hizi WC mbili ambazo zina magoli mengi kuliko zote.
 
Ubaya wa mechi za mtoano na finali, mmoja tu ndio mshindi na anaeshinda anacheka yule mwingine analia
 
2018 #TeamBrazil
Tuombe uhai tukutane hapa jukwaani tena tuishangilie timu yetu itutoe kimaso maso, tusijeswitch team kama leo. Kumshangilia mke wa jirani amepata mtoto wakati wewe huna mtoto yahitaji moyo sana.

Nina imani kubwa sana na Brasil yetu kwa sababu blueprint ya ushindi tunayo.

Ni kiasi cha kuifuata tu, basi. Kitu na boksi.

Na tulivyoumia safari nakwambia mwaka 2018 ndo mwaka wa redemption.

Watch this space.
 
Labda niwajulishe tu nusu ya wachezaji wanleo kochawao ni pap gudiola

Nipe mwelekeo
 
Hata juu ya Dinho hafai kuwepo...Messi levo yake ni ya C. Ronaldo...

Ronaldinho alikuwa ball controller sana, kuliko kuwa effective ndo maana hakusavaivi ulaya kama Messi. Messi yupo effective ana bring his team in the play kuliko Ronaldinho. Sema Wabongo mtu anayepiga dana dana na skills nyingi ndo anaujua kuliko yule aliye effective.
 
Hawa watu wasilie bana mbona #TeamBrazil pamoja na kuandaa bado tukatolewa kwa aibu sana na tukalia, sasa hawa ambao hawajachangia hata mchanga wanalaia nn
 
Imeniuma sana kwa kweli!Pombe zote zimenitoka
Lkn Argentina sio Brazil na hii leo imethibitika
 
pope Yule wa ujerumani kamshinda Pope wa Argentina sio watakuwa walikuwa wanatizama pamoja sijui Vatican?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…