Hongera mkuu....
asante mkuu, nakupongeza pia kwa kuonyesha kukubali kushindwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera mkuu....
he is with you all the way congrats #team germany[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=team]#team germany[/URL] salute the world champions
Messi becomes Mess
2018 #TeamBrazil
Tuombe uhai tukutane hapa jukwaani tena tuishangilie timu yetu itutoe kimaso maso, tusijeswitch team kama leo. Kumshangilia mke wa jirani amepata mtoto wakati wewe huna mtoto yahitaji moyo sana.
Hata juu ya Dinho hafai kuwepo...Messi levo yake ni ya C. Ronaldo...
hili kombe la dunia lipo bien,hadi familia zinatinga uwanjani
zimefika baba mournho, watu walitaka kutuharibia siku lakini...wapi!!!