walijua itakuwa Kama ndugu zao Holland..Mjerumani kaweka heshima kubwa kamtandika Brazil na Argentina barani kwao! Sio kitu rahisi lazima Hongera tuwape hata Kama wengine hatukutaka ashinde ila Mjerumani kaonyesha Extra Time anaziweza,Fujo anaweza, counter attack anaweza, kukaba anaweza na hawakupendelewa na Refa.
.....bicoz alikuwa hajapiga mswakiThe one who laugh last ............
Team germany oyee...
Mkuu Ronaldinho my opinion kila mtu ana zake, kwangu hakuwa effective ni kulinganisha na Messi ndani ya Barca mara nyingi alikuwa ni mchezaji aliyekuwa ana hug mpira zaidi ya kubring team into the play kama Messi anavyofanya. Ameondoka Ulaya akiwa na miaka 30 tu, kacheza ulaya kama miaka 9 in total.
Karibu sana...msalimie abhisheck Bachan lol...nakudai kitu...
Then again. Messi kafanya nini ktk World Cup hii kupewa the Golden Ball? Kuna wachezaji waliwika katika haya mashindano kuliko Messi. Fifa sometimes wana lose credibility.
Umenichekesha,tokea 2006 Italy,2010 Spain leo 2014 Germany kweli aisee hii ni too much!kombe linazunguka ulaya tu
majina ndio yanatizamwa hasa kimatangazo Adidas wamefurahi kwa mengi na FIFA!. Pengine hata mchezaji Ghana au Algeria alitakiwa kupata ila anatizamwa Star Mfano FIFA wameshindwa kuumiza kichwa Young Player kapewa Pogba japo nampenda dogo na namuona mkali ila Pogba hakutakiwa kupewa Award kuna Players Colombia walikuwa wapate.
Asanteni wadau wote humu kwa kampani nzuri sana,mmekuwa marafiki kwangu sina neno,mara nyingi mpira huu nilikuwa nacheki mwenyewe lakini kupitia ninyi nilikuwa najiona kama niko na watu maelfu wamenizunguka, Asanteni sana,tusameheane sana pale tulipokwazana,nawapenda wote,muwe na usiku mwema. Germany oyeeeeeeeeeeee!!!!
Asanteni sana wadau wote wa soka kwa kipindi chote tulichokuwa pamoja hapa.
Asanteni sana wadau wote wa soka kwa kipindi chote tulichokuwa pamoja hapa.
Then again. Messi kafanya nini ktk World Cup hii kupewa the Golden Ball? Kuna wachezaji waliwika katika haya mashindano kuliko Messi. Fifa sometimes wana lose credibility.
shukran kwako pia kwa kuwa mtabiri bora ...lol