Gattuso alishastaafu siku hizi ni kocha
Leo Jirani akirudi atazima Wifi connection bure nisitoe bendera wacha niendelekuiweka dirishani tehtehteh wewe nasikia Jirani yako wanawe wa kike kawapeleka Boarding kaona wanaingia 18 na hili Joto unawatega Kifua wazi na bukta ya england.
Gatusso alishastaafu......Juventus lol halafu gatusso mbona sijamuona kapotelea wapi
Sasa tunawaombee hawa waafrika wenzetu watutoe kimasomaso,mm ngoja niwapigie dua sasahivi.
Juventus lol halafu gatusso mbona sijamuona kapotelea wapi
Pole sana mkuu game ilikuwa ngumu England siyo wabaya upangaji wa timu siyo mzuri.
Hasbiallah lol
Gatusso alishastaafu......
Pole sana mkuu game ilikuwa ngumu England siyo wabaya upangaji wa timu siyo mzuri.
Kama HAWAJALIPWA posho hata mechi yenyewe inaweza isiwepo!Hizi teams za Afrika hizi mhhh!
Sijui Italy kama itakuja kuwa na wachezaji kama hawa aisee.....Anakula kuku saa hizi,mstaafu,Gatuso,Materazi,canavaro,camoranesi,totti,Italy ya wababe hiyo!hiyo list ya mabondia watupu waliogeukia soka.