World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Pazi

Kufungwa kwa leo kumetukosesha zile offer ambazo kesho tungepata: Buy one get two for free
Leo Jirani akirudi atazima Wifi connection bure nisitoe bendera wacha niendelekuiweka dirishani tehtehteh wewe nasikia Jirani yako wanawe wa kike kawapeleka Boarding kaona wanaingia 18 na hili Joto unawatega Kifua wazi na bukta ya england.
 
Mourinho Bulldog Bantu lady adolay na wengine njooni tucelebrate...


Hii imekaa safi sana DEMBA , mpendwa katika soccer ni ushindi wa nguvu - watoto wameenda kulala

kelele nyiingi na mbio kibao mara tiyaari bado - bado, tiyaari bado - bado haya kumbe tayari wanasinzia humohumo,

mara nini lakini mapeema wamelala.
 
Last edited by a moderator:
Pazi

Kufungwa kwa leo kumetukosesha zile offer ambazo kesho tungepata: Buy one get two for free
Pole sana mkuu game ilikuwa ngumu England siyo wabaya upangaji wa timu siyo mzuri.
 
Last edited by a moderator:
Pundits wa leo nimewakubali sana, wanasema kuna haja gani ya kumchezesha mchezaji sehemu ambayo sio yake, si bora usimpange au ukitaka acheze mpange nafasi yake Pazi
 
Last edited by a moderator:
vijana wasikuhizi mademu wengiiiiii Party saaaana Selfiieeeee nyingiiiii ndomana unaona watoto wadogo wachezaji wanalala chini miguu imechoka huoni mtu Kama Pirlo au Giggs kulala lalanchini sana mguu unyooshwe wapunguze Selfie wanakuwa Kama Rubaman bwana.
 
Duh,sijui nifanyeje ili niamke saa moja asubuhi aisee.ngoja nikauonje kidogo wakuu.mbaki salama.kila la kheri Cote Divoire
 
Pole sana mkuu game ilikuwa ngumu England siyo wabaya upangaji wa timu siyo mzuri.

Yeah unachosema wewe ndicho hawa pundits walikuwa wanakiongelea sasa

Ila nimefurahi England kuwachezesha vijana wadogo wengi, watakuja kuwa wazuri tuu
 
Anakula kuku saa hizi,mstaafu,Gatuso,Materazi,canavaro,camoranesi,totti,Italy ya wababe hiyo!hiyo list ya mabondia watupu waliogeukia soka.
Sijui Italy kama itakuja kuwa na wachezaji kama hawa aisee.....
 
BqIT6i8CAAAMNUj.jpg
 
Back
Top Bottom