World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Kuna chuma na chuma cha pua

Pirlo ni chuma cha pua kimefanya mambo kama kijana, eti Gerad nan kasema nimeona hajaonekana kabisa.
 
Anakula kuku saa hizi,mstaafu,Gatuso,Materazi,canavaro,camoranesi,totti,Italy ya wababe hiyo!hiyo list ya mabondia watupu waliogeukia soka.

Heeee gatusso mbabe sana...mara hii kama wakishinda sijui nani atavua suruali lol navaa miwani yangu kabisaa nile chabo lol
 
Noooo saivi ivory cost wajapan wale wamefanana baada ya halftime wanaingia team mpya lol


Japan wana miili midogo, hakika wanaasilimia kubwa ya kuharibu mambo ya waafrika.

Speed, control na uwezo wao upo juu, hasa wanacheza kitim-hawategemei umaarufu wa mmoja mmoja.
 
Team za Afrika hizi!Sasa unashindwa kumfunga Mexico unategemea nn?Japan leo akipata hata sare Ivory Coast itanikera sana
 
awa kantangaze sijui kama watawezana na uruguai kwa forwad yao ya stearing wakati wenzao wana suarez
 
Najirani mtaani akirudi Anarudi kwa Fujo za kilevi na ndio mida yake weekend ila nafikiria Leo atakuwa karudi kwa heshima au kaamuwa alale kwenye Call Box hazitumiki sababu nyumba ya mwenzake kamuwekea Bendera ya Scotland.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…