Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Pamoja mkuu utakuta matokeo asubuhi.....Duh,sijui nifanyeje ili niamke saa moja asubuhi aisee.ngoja nikauonje kidogo wakuu.mbaki salama.kila la kheri Cote Divoire
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja mkuu utakuta matokeo asubuhi.....Duh,sijui nifanyeje ili niamke saa moja asubuhi aisee.ngoja nikauonje kidogo wakuu.mbaki salama.kila la kheri Cote Divoire
Ina maana wewe ni #team Japan?
Mkuu kumbe na huku huwa unapita?Pole sana mkuu game ilikuwa ngumu England siyo wabaya upangaji wa timu siyo mzuri.
Juventus lol halafu gatusso mbona sijamuona kapotelea wapi
Kataka kuchekesha kaona wenzake wapo kwenye huzuni tehtehteh.Thierry Henry: "Pirlo is that good, I think he meant to hit the bar with that free-kick"
Anakula kuku saa hizi,mstaafu,Gatuso,Materazi,canavaro,camoranesi,totti,Italy ya wababe hiyo!hiyo list ya mabondia watupu waliogeukia soka.
Hiyo wengine tunaisamehe NBA lini?Ohh kumbe kuna mechi nyingine leo
Noooo saivi ivory cost wajapan wale wamefanana baada ya halftime wanaingia team mpya lol
Hizi team zetu full kizungumkuti,Kama HAWAJALIPWA posho hata mechi yenyewe inaweza isiwepo!Hizi teams za Afrika hizi mhhh!
Ohh kumbe kuna mechi nyingine leo
Ni sawa na kuiwekea matumaini Taifa stars kuwa itafuzu AFCON 2015.Kweli kina mtu ana mapenzi yake! Yaani unaacha kulala kushabikia england!