Acha watu waangalie bwana kwani wanakula hiyo Tv? wavumilie mwezi huu huu si unajua ving'amuzi ghaliWageni kaangalieni Tv kwenu si mnazo?
Hata kama ndogo mechi ni hii hii.
Makelele na mnaninyima uhuru na mume wangu
Wageni kaangalieni Tv kwenu si mnazo?
Hata kama ndogo mechi ni hii hii.
Makelele na mnaninyima uhuru na mume wangu
Wageni kaangalieni Tv kwenu si mnazo?
Hata kama ndogo mechi ni hii hii.
Makelele na mnaninyima uhuru na mume wangu
Hahahaha sasa mshikakiendela anaombea timu pinzani ishindwe kuna dalili za upendeleo hapa
Yah ni kobe mkuu nilichanganya madawaOkay kumbe ni kobe.....
Hahahaha marcelo kashanitia homa dakika ya 13 tu lol
Kipindi cha pili wanakuja kumaliza kazi.Hahahaha marcelo kashanitia homa dakika ya 13 tu lol
Duh waambie waje hapa maana iko mwenyewe tu wengine wote washalala
hehe ivi kuna raha ya kucheki game alone
shida nyingine ziko nje ya uwezo!!house girl kamaliza kuangalia movie ya back to life part 1 EATV.Naweka match TBC hapa naye hupo tuu.hiii anashangilia brazili kurudisha goli.Ajabu wife kalala kitambo!sasa kwanza match hii iishe tuanzishe yetu ya kirafiki
Huyu refa mzushi, ameanza kuwapa free kicks Brasil za bure. Anatoka uchina uchina ipi?
Streaming Online - WatchESPNWakuu naomba nipatiwe link ambayo naweza kuona mechi zote za kombe la dunia Brazil 2014 kwa kutumia komputa yangu,asanteni.:sad:
Moderetors tunaomba msticky huu uzi mpaka kombe la dunia liishe...!
Una hamu ya kuachika.ndoa utahudumia saa ngap
kila siku itakuwa mechi hii tu mpaka fainali?