World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Wageni kaangalieni Tv kwenu si mnazo?
Hata kama ndogo mechi ni hii hii.
Makelele na mnaninyima uhuru na mume wangu
Acha watu waangalie bwana kwani wanakula hiyo Tv? wavumilie mwezi huu huu si unajua ving'amuzi ghali
 
Wageni kaangalieni Tv kwenu si mnazo?
Hata kama ndogo mechi ni hii hii.
Makelele na mnaninyima uhuru na mume wangu

Pole sana, bora wako yuko nyumbani usipige kelele,kuna watu wameaga wanacheki mpira kumbe wako gest wana mpira wao,vumilia tu mumy ni mwezi mmoja tu tena mshukuru mumeo kwa kukuheshimu.
 
Hahahaha sasa mshikakiendela anaombea timu pinzani ishindwe kuna dalili za upendeleo hapa

Yaani naiombea kweli ishindwe c utani
Ngoja tusubiri kipindi cha pili
Tuwafundishe step za kucheza zumba
 
Duh waambie waje hapa maana iko mwenyewe tu wengine wote washalala
 
shida nyingine ziko nje ya uwezo!!house girl kamaliza kuangalia movie ya back to life part 1 EATV.Naweka match TBC hapa naye hupo tuu.hiii anashangilia brazili kurudisha goli.Ajabu wife kalala kitambo!sasa kwanza match hii iishe tuanzishe yetu ya kirafiki

mmmh! Ngoja nkamuamshe wife wako!
 
Moderetors tunaomba msticky huu uzi mpaka kombe la dunia liishe...!
 
Back
Top Bottom