Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
We acha tu dada,ushabiki kama tu ulevi wa mihadarati!Ikiisha game hii nalala kama gogo!!Toka nitoke job sijalala
Mkuu hawa jamaa nawaogopa sana, kuwashinda nikuwachapa mapema kwasababu wajapani hawachoki.
Ndo ivo leo hebu tusubiri tu
mkuu hizo dalili inaonekana umechoka ila ubishi tu.
Duh pole sana, na utalala hasa. Nashukuru mimi licha ya hii weekend pia niko likizo na ndio nimeianza kwa wiki ya kwanza. Nashukuru kwa hili kwa kweli, mambo ya kwenda kusinzia ofisini kama mtu ulishinda bar hahahaha ni noma.
ndio Mie naona kufungwa nilisema nitaenda kulala nimejikuta usingizi umeruka angalau Ivory Coast washinde half time Bony na Gervinho Half ya kwanza wapige magoli ila Japan hawachoki utafikiri wamewekewa kitu kwenye mwili microsd.Tungeshinda kuna uwezekano nisingeangalii hii mechi ya Ivory Coast ila kwa sababu tumefungwa wacha niwaangalie walaji wa fufu
ndio Mie naona kufungwa nilisema nitaenda kulala nimejikuta usingizi umeruka angalau Ivory Coast washinde half time Bony na Gervinho Half ya kwanza wapige magoli ila Japan hawachoki utafikiri wamewekewa kitu kwenye mwili microsd.
Natabiri 2-1 ivory cost watashinda mechi hii
Niambie utabiri wako!Duh pole sana, na utalala hasa. Nashukuru mimi licha ya hii weekend pia niko likizo na ndio nimeianza kwa wiki ya kwanza. Nashukuru kwa hili kwa kweli, mambo ya kwenda kusinzia ofisini kama mtu ulishinda bar hahahaha ni noma.
Natabiri 3-2,Ivory Coast wanashinda
Heee nice wacha tuone nani mtabir atapatia
Niambie utabiri wako!
Mi nasema Ivory Coast 3-Japan 2
Ikumbukwe. Kocha wa England ndiye kocha anayelipwa pesa nyingi kuliko makocha wa timu zote za Taifa zinazoshiriki World cup 2014.