World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

We acha tu dada,ushabiki kama tu ulevi wa mihadarati!Ikiisha game hii nalala kama gogo!!Toka nitoke job sijalala

Duh pole sana, na utalala hasa. Nashukuru mimi licha ya hii weekend pia niko likizo na ndio nimeianza kwa wiki ya kwanza. Nashukuru kwa hili kwa kweli, mambo ya kwenda kusinzia ofisini kama mtu ulishinda bar hahahaha ni noma.
 
Mkuu hawa jamaa nawaogopa sana, kuwashinda nikuwachapa mapema kwasababu wajapani hawachoki.

Naamini mzee mzima Droga pale mbele na Yahya Toure pale kati hawatatuangusha,hii ndo timu nayotegemea kuingia robo maana ghana kundi lake inahitaji miujiza sana
 
mkuu hizo dalili inaonekana umechoka ila ubishi tu.

Tungeshinda kuna uwezekano nisingeangalii hii mechi ya Ivory Coast ila kwa sababu tumefungwa wacha niwaangalie walaji wa fufu
 
Huyu Ian Wright siku hizi anakuja kwenye TV na style ya Shati za ajabu.
 
Duh pole sana, na utalala hasa. Nashukuru mimi licha ya hii weekend pia niko likizo na ndio nimeianza kwa wiki ya kwanza. Nashukuru kwa hili kwa kweli, mambo ya kwenda kusinzia ofisini kama mtu ulishinda bar hahahaha ni noma.

Bora wewe uko likizo, mimi nitapunguza masaa ya mkesha kuanzia kesho maana unaweza fanya maajabu muofisi

customers na wageni wakashangaa.
 
Tungeshinda kuna uwezekano nisingeangalii hii mechi ya Ivory Coast ila kwa sababu tumefungwa wacha niwaangalie walaji wa fufu
ndio Mie naona kufungwa nilisema nitaenda kulala nimejikuta usingizi umeruka angalau Ivory Coast washinde half time Bony na Gervinho Half ya kwanza wapige magoli ila Japan hawachoki utafikiri wamewekewa kitu kwenye mwili microsd.
 
Hilo ndiyo tishio kubwa la wajapani.
 
Duh pole sana, na utalala hasa. Nashukuru mimi licha ya hii weekend pia niko likizo na ndio nimeianza kwa wiki ya kwanza. Nashukuru kwa hili kwa kweli, mambo ya kwenda kusinzia ofisini kama mtu ulishinda bar hahahaha ni noma.
Niambie utabiri wako!
Mi nasema Ivory Coast 3-Japan 2
 
Heee nice wacha tuone nani mtabir atapatia

Ila hawa wajapan walivyo wepesi nahisi watapata pernalt tu,maana Ivory Coast walivyojazia hao wakiguswa kidogo lazima waanguke
 
Ikumbukwe. Kocha wa England ndiye kocha anayelipwa pesa nyingi kuliko makocha wa timu zote za Taifa zinazoshiriki World cup 2014.

Hapana si kocha wa England Ndibalema, kocha anayelipwa zaidi ya wote kwenye WC ni Fabio Capello wa Russia. England yeye wa pili.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom