Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
We acha tu dada,ushabiki kama tu ulevi wa mihadarati!Ikiisha game hii nalala kama gogo!!Toka nitoke job sijalala
Duh pole sana, na utalala hasa. Nashukuru mimi licha ya hii weekend pia niko likizo na ndio nimeianza kwa wiki ya kwanza. Nashukuru kwa hili kwa kweli, mambo ya kwenda kusinzia ofisini kama mtu ulishinda bar hahahaha ni noma.