Hahahahahahaha kwamba kwao channel hazishikiNjoo Tanzania utaona vizuri...
Itakuwa inafanyiwa editing kama mechi nyingine tulivyokuwa tunafanya. Kwani wewe mgeni katika jukwaa hili?Kila siku itakuwa mechi hii tu mpaka fainali?
Bado utaitwa utabiri?hii beki ya brasil mh! haijatulia. wanahitaji roberto carlos wao! Ila ka neymar na oscar wanajitahidi!
Croatia wanafanya kazi nzuri!
Utabiri wangu ni mechi ikiisha.
Karibu sana mheshimiwaNimekuja kupiga sahihi ktk Uzi huu Km mdau Wa soccer!
Leo game ngumu!
Huo hautakuwa utabiri tena.hii beki ya brasil mh! haijatulia. wanahitaji roberto carlos wao! Ila ka neymar na oscar wanajitahidi!
Croatia wanafanya kazi nzuri!
Utabiri wangu ni mechi ikiisha.
Na wao wameenda kuchukua kombe siyo kutaliiVicroatia vinacheza navyo..mhh
Vicroatia vinacheza navyo..mhh
Brazil atagongwa then England watatolewa katika Group stage watalalamikia joto kali ndo limechangia kutolewa
wanapigwa......Mm nawaombea washinde kabisa hii mechi.
Hii comment ninai-save ili usije ukakana
wanapigwa......