World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Nimekuja kupiga sahihi ktk Uzi huu Km mdau Wa soccer!

Leo game ngumu!
 
hii beki ya brasil mh! haijatulia. wanahitaji roberto carlos wao! Ila ka neymar na oscar wanajitahidi!
Croatia wanafanya kazi nzuri!
Utabiri wangu ni mechi ikiisha.
 
Bado utaitwa utabiri?
 
hii beki ya brasil mh! haijatulia. wanahitaji roberto carlos wao! Ila ka neymar na oscar wanajitahidi!
Croatia wanafanya kazi nzuri!
Utabiri wangu ni mechi ikiisha.
Huo hautakuwa utabiri tena.
 
Ni sheedar kumbe wife kalala ngoja nije tucheze gombania goli au unasemaje
 
Back
Top Bottom