World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Penati 50,50..jamaa kavuta mabega halafu kamuachia akose balance.refa ana akili huyu,mpaka uwe mchunguzi sana ndio utagundua ile ni penati.
 
naona refa anatekeleza mapendekezo ya wateja wake
 
dah! sijui watu wafanyeje mpira uwe more fair aisee! Inankumbusha hand ball ya suarez against ghana south africa! dah! nikaacha kuangalia na mpira mwaka!

Coach's challenge kama kwenye American football.

Call kama hiyo ingekuwa kwenye NFL lazima kocha angerusha kitambaa chekundu.

Soka bado iko nyuma sana.
 
Luiz karuka mzima mzima daah,lilikuwa goli la mashindano lile
 
dah! sijui watu wafanyeje
mpira uwe more fair aisee! Inankumbusha hand ball ya suarez against
ghana south africa! dah! nikaacha kuangalia na mpira mwaka!

Mkuu acha kabisa kukumbushia hyo kitu, siku hiyo usingz haukuja, nakuja kustuka swalaaswalaa..alaaniwe suarez.
 
dah! sijui watu wafanyeje mpira uwe more fair aisee! Inankumbusha hand ball ya suarez against ghana south africa! dah! nikaacha kuangalia na mpira mwaka!
Hata ukiacha kuangalia haisaidii, wewe fanya kuvumilia tu ni makosa ya kibinadamu haya.
 
Kwa huu mpira brazil wajiandae kisaikolojia maana wanaweza kuishia kwenye makundi..
 
Hawa Brazil wenu hawa, siku wakikutana na wauni mutawakataa hawa.
 
Hmmm...ile penati hawakustahili kabisa!

Hivi inakuwaje kwenye soka hakuna coach's challenge kama ilivyo kwenye American football?

Huu mchezo uko nyuma sana kimaendeleo!

Goal line technology yenyewe wametumia miaka kuiruhusu licha ya timu kudhulumiwa magoli.
. Haupo nyuma kimaendeleo vitu vengine tukivileta kwenye mpira wa miguu kutakuwa hakuna mpira wamiguu sasa itakuwa stop and play mwisho tutachoka kutizama vipo vitu vinafaa Kama goalline.
 
Back
Top Bottom