Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh! Wanazi wa goons, neno kubebwa limewaganda kama alivyowaganda kocha wenu Arsene Chenga!
nilikutangulia mrembo
dah! sijui watu wafanyeje mpira uwe more fair aisee! Inankumbusha hand ball ya suarez against ghana south africa! dah! nikaacha kuangalia na mpira mwaka!
dah! sijui watu wafanyeje
mpira uwe more fair aisee! Inankumbusha hand ball ya suarez against
ghana south africa! dah! nikaacha kuangalia na mpira mwaka!
Hata ukiacha kuangalia haisaidii, wewe fanya kuvumilia tu ni makosa ya kibinadamu haya.dah! sijui watu wafanyeje mpira uwe more fair aisee! Inankumbusha hand ball ya suarez against ghana south africa! dah! nikaacha kuangalia na mpira mwaka!
Duh! Wanazi wa goons, neno kubebwa limewaganda kama alivyowaganda kocha wenu Arsene Chenga!
Kwa huu mpira brazil wajiandae kisaikolojia maana wanaweza kuishia kwenye makundi..
Na mimi 3-1 kabla yako pitia comment zangu za nyuma.Basi mi pweza dume we pweza jike.Ahahahah..Mimi nimetabiri 3-1 soma comm zangu nyuma sio 2-1
. Haupo nyuma kimaendeleo vitu vengine tukivileta kwenye mpira wa miguu kutakuwa hakuna mpira wamiguu sasa itakuwa stop and play mwisho tutachoka kutizama vipo vitu vinafaa Kama goalline.Hmmm...ile penati hawakustahili kabisa!
Hivi inakuwaje kwenye soka hakuna coach's challenge kama ilivyo kwenye American football?
Huu mchezo uko nyuma sana kimaendeleo!
Goal line technology yenyewe wametumia miaka kuiruhusu licha ya timu kudhulumiwa magoli.