World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Umeonaee alipaa sana ile aliyofunga kwa kichwa hata angevunjika kidevu mtoto wa watu. Waafrika lazima tuna matatizo fulani na tunapenda kujituma tukiwa na wazungu.

Angekuwa ngassa kapiga kile kichwa sa jv angekuwa india kutibiwa.
 
bora naona mzungu pale kakasirika kambiwa njoo umbebe my black brother.
 
Leo England sijui Kama watasema Mikate ya Sale hehehehe VAT itapanda kwa hasira.
 
DonDonald nilikwambia kaweke bet England watafungwa ungekuwa umeshajizolea pesa. Tatizo mwoga ulidhani watakufanya kama yule Mturkish vs Beckham sio
 
Mi nawashukuru sana hawa Tembo wetu wa Afrika. Bado
Nina imani na Simba wasiofugika waliopigana kiume kabisa katika mechi iliyokuwa mgumu kabisa kuliko ile ya ufunguzi. Kuteleza si kuangusha


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Usiku mwema,tukutane kwenye mechi za kesho
 
Jamani mnaweza badilisha station zenu kuelekea bbc, star tv, sky news, ITV tupate taarifa za habari asubuhi ya leo

maana sasa inakaribia kabisa kufika 0600hrs EAT

Kwa wale wakuwahi church pitishen maji

swali kwa everlenk , rubaman , Kigogo, Pazi , Malafyale , [MENTION]Viol [/MENTION] , Bantu lady , Mr Econ na The secretary

Mtapiga mswaki leo au mnauganisha????
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…