Kigogo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2007
- 20,508
- 6,183
Timu za Asia nazo mbovu bora Africa hehehe.
Hahaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Timu za Asia nazo mbovu bora Africa hehehe.
Umeonaee alipaa sana ile aliyofunga kwa kichwa hata angevunjika kidevu mtoto wa watu. Waafrika lazima tuna matatizo fulani na tunapenda kujituma tukiwa na wazungu.
Nikweli unaelekea church baada ya huu mkesha mamii?
Angekuwa ngassa kapiga kile kichwa sa jv angekuwa india kutibiwa.
Hii Game tumeweza kukosoa Ivory Coast je Japan makosa Yao ni nini?
Naona Bantu lady umefurahi sana.
Usiku mwema,tukutane kwenye mechi za kesho