Hahahahaha kweli aisee nakumbuka mimi kama timu naipenda nikiona inazidiwa nilikuwa naenda kulala,ili nikiamka nikute matokeo,kweli aisee unaweza pata heart attak hivi hiviI. coast ni zaidi ya tembo, km nyangumi vile..... ila km una BP usiangalie mechi km hizi, unaweza ku"R.I.P" bila kupenda hahahahaha....
Hayo maagentina yanacheza na vibondeni South Africa, hivyo matokeo yashajulikana kabla mechi kuchezwa.Leo nipo na Wafaransa, labda na Equador. Hao argentina siwezi kuwaona maana muda mbaya na kesho job mapema.
Toka juzi nilifululiza,jana nikashindwa kuangalia I.Coast na Japan,leo nitaangalia ya France tu,Hao kina Merci nitasoma matokeo kesho,Yaani kumbe watu wa marekani na south america ndo huwa wanapata taabu hivyo?Toka 1998 kombe halijachezwa kwao.Huwa wanateseka sana na masaa aisee ngoja na sisi mwaka huu tusikilizieLeo nipo na Wafaransa, labda na Equador. Hao argentina siwezi kuwaona maana muda mbaya na kesho job mapema.
Mabingwa wa kwanza kunyakua kombe la dunia Uruguay wameshindwa kufurukuta kipindi cha pili baada ya Costa Riko kusawazisha katika kipindi cha pili na kuongeza mabao mawili ya ushindi na kuifanya kuondoka na point zake tatu safi. Kutangulia sio kufika kama ilivyotokea kwa Barazil mechi ya ufunguzi.
Candid Scope hiyo costa riko ni kiswahili cha Costa Rica au mie ndo nimebugiii.....
Uruguay bila "goli kipa" wao wa akiba Louis Suarez hawana kitu....
Germany Portugal Ghana United States
Sijui wenzangu mna maoni gani maana nikitazama hili kundi ni gumu kuliko makundi mengine. Ngoja tusubiri
Watapata shida sana kushinda.Leo nipo na Wafaransa, labda na Equador. Hao argentina siwezi kuwaona maana muda mbaya na kesho job mapema.
Nadhani anamuongelea Wayne Rooney hapo
Daaah hongera sana buluda kwa kutupunguzia kelele, wale three lions ni kama timu yangu niipendayo yenye makazi pale mazalio ya mmbu ipo magazetini zaidi kuliko uwezo.
Ila mi nipo moodyless kwenye haya mashindano toka nipokee kipigo cha jibwa koko kisichotegemewa.
Vipi wakuu,mechi ya Ivory Coast ilikuwaje?kiwango chao?cha Japan?
daaaa Japan
HahahahaComments zako umezifuta au bado ziko valid
#fact england have never scored more than one goal in the world cup