World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Watafungwa lingine hawa waswizi maana equador wanaonekana wana uchu kweli.
 
Equador wanapata goli hapa.
1-0 Ecuodor japo nataka washinde ila Swiss kipa kwani kipa lazima uruke? Angesimama akaokoa Kama beki kwa tumbo au Kifua kuruka kumefanya atoke eneo lake alilosimama. Jefferson Montero mkali.
 
Tunapata burudani safi sana ila balaa la kukesha....! Leo mechi ya saa saba siiangalii nisijekuharibu kazi za watu bure.

Nimegundua ukikesha siku tatu mfululizo hata uwezo wa kufikiri unapungua.
 
Wakeshaji wengine huko hoi, mimi nililala nimeamka mchana fresh kabisa. Uswiss natupa karata yangu.


Bantu lady


Nimeamka mapema lakini leo nitaenda kimtindo kesho muofisi nsijelala, haya tulianzisheni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…