Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1-0 Ecuodor japo nataka washinde ila Swiss kipa kwani kipa lazima uruke? Angesimama akaokoa Kama beki kwa tumbo au Kifua kuruka kumefanya atoke eneo lake alilosimama. Jefferson Montero mkali.Equador wanapata goli hapa.
Ndugu zetu wanapata goli
Switzerland 2 - Ecuador 0.
Tunapata burudani safi sana ila balaa la kukesha....! Leo mechi ya saa saba siiangalii nisijekuharibu kazi za watu bure.
HahahahahaNimegundua ukikesha siku tatu mfululizo hata uwezo wa kufikiri unapungua.
Ndugu zetu wanapata goli
Kumbe siku hizi watu kutoka south America ni ndugu zenu waTZ?
Bantu lady alitabiri Ecuador watafungwa 2 sasa sijui ata yageuza matokeo?Ishalimwa moja tayari... Ecuador oyeee
Kumbe siku hizi watu kutoka south America ni ndugu zenu waTZ?
Wakeshaji wengine huko hoi, mimi nililala nimeamka mchana fresh kabisa. Uswiss natupa karata yangu.
anagalau tunafanana kwa rangi ya ngozi.Kumbe siku hizi watu kutoka south America ni ndugu zenu waTZ?
Ishalimwa moja tayari... Ecuador oyeee
Bantu lady alitabiri Ecuador watafungwa 2 sasa sijui ata yageuza matokeo?
Hahahahaaaaa..... ni hiyo rangi yao