yah ila sio Wajamaica wa Nje ya nchi ukienda canada au England Wajamaica weusi hawapendi kujiona Waafrica na Wamarekani weusi wa miaka hii hawapendi waambiwe wao Waafrica wakati babu zao wakati wanagombania wao haki na kwamba ni Waafrica sijui hawakumbuki ila Weusi South America wanapenda Africa ndomana Brazil Samba ili pigwa ban sababu ngoma ya Africa ila watu wakailazimisha , imesaidia rangi zote Brasil wapatane wapatane sababu ya sambaHao ukijichanganya nao wanajua ni mwenzao.