World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Hao ukijichanganya nao wanajua ni mwenzao.
yah ila sio Wajamaica wa Nje ya nchi ukienda canada au England Wajamaica weusi hawapendi kujiona Waafrica na Wamarekani weusi wa miaka hii hawapendi waambiwe wao Waafrica wakati babu zao wakati wanagombania wao haki na kwamba ni Waafrica sijui hawakumbuki ila Weusi South America wanapenda Africa ndomana Brazil Samba ili pigwa ban sababu ngoma ya Africa ila watu wakailazimisha , imesaidia rangi zote Brasil wapatane wapatane sababu ya samba
 
Hahahaa... itabidi tuwe na standby ambulance kwa ajili ya Bantu lady
Hahaha yani inabidi hiwepo kabisa maana mechi hizi za WC hazitabiriki kabisa unaweza kumpoteza mtani hivi hivi.
Vijana wa Arabica na Robusta wamekwenda kunywa maji sasa.
 
Last edited by a moderator:
Oooh so sorry! Daaa so sad lakini wana hali mbaya sana sijui kama mtani atapona leo.
Lazima abebwe kwenye machela. Hawa watoto ni hatari wa Ec

Thank you.... itabidi tusogee maeneo yake in case of anything tunatoa Huduma ya kwanza
 
Pole sana TATIANA, R I P daddy. Kumbukumbu ya huzuni sana.

Ruttashobolwa hakuna wa kubebwa kwa machela hapa, hii timu siyo yangu kabisa Uswiss nimeipa tu karata yangu. Ingekuwa Brazil hapo kweli.
Hahahaha mtani Bantu lady kweli hujipendi kabisa yani unachukua pressure ya bule kuishangilia brazil! Daaa nimesikitika utabebwa na machela soon.
Bora ushabikie chile.
Pole mtani.
 
Last edited by a moderator:
Hahaha yani inabidi hiwepo kabisa maana mechi hizi za WC hazitabiriki kabisa unaweza kumpoteza mtani hivi hivi.
Vijana wa Arabica na Robusta wamekwenda kunywa maji sasa.

Hata mi naona aisee....but nimeshaandaa first aid kit tayari...vijana wana spid na morale wa hali ya juu
 
Daaa naona mtani anapumua sasa hila hawa watafungwa tuu! Chezea Arabica na Robusta...
 
Hahahaha mtani Bantu lady kweli hujipendi kabisa yani unachukua pressure ya bule kuishangilia brazil! Daaa nimesikitika utabebwa na machela soon.
Bora ushabikie chile.
Pole mtani.

Sijui kitu gani kitanifanya niondoke hii timu. Ndio timu ilinifanya nipende mpira mpaka leo. Hata Chile naipenda na zingine baadhi.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha mtani Bantu lady kweli hujipendi kabisa yani unachukua pressure ya bule kuishangilia brazil! Daaa nimesikitika utabebwa na machela soon.
Bora ushabikie chile.
Pole mtani.

Mtani atapumua sasa....nimekasirikaaaaje!!
 
Last edited by a moderator:
#Team Ghana toka moyoni naamini itafanya maajabu
. 1-1 Ghana ndio timu pekeee Africa Wenye Nguvu na kutumia akili na kucheza football na Group ndio gumu limeitwa gumu sababu wao pia wagumu ikishinda Ghana Mbele it aendelea vizuri.
 
Back
Top Bottom